Friday 15 March 2013

Letter to BUMULA residents from WAKOLI PIFWOLI'S...Very FUNNY

Letter to BUMULA residents from WAKOLI PIFWOLI'S...Very FUNNY




 
Kwansa ni salamu minki kama kura za tharaka nithi,natumai muko sapampa kama maiki songo.

Nikiantikeko hii parua machameni sina kafuraha ata kokote pwana,mimi yanku ni kupikwa na putwaa pamocha na pumpuasi,

wat tit i do to tiserve tis my people of pumula?? Ni kosa kani hilo nilifanyeko ampalo huesi samea pinatamu mwensako aki ya mungu?

Napupujikwa na machosi,na si kama ya mueshimiwa ruto,yanku ni ya husuni.

Kama pinatamu ni mwensako nakosea wewe,ita yeye mkule ka inkoho na mukunywe pusaa mukichatiriana,lakini si mampo ya matarau kama mashetani?? Si hyo nikama kua mwentawazimu?

Epu chiuliseni Hekaheka ,pulls eye na trut metre itakua namna kani pila man sylvester wakosh pifwosh?

Aaii watu wa pumula? Mpona,mpona mpona ??Aaah Mponaaa?

No comments:

Post a Comment

Adclick Africa